Geuza WiFi yako kuwa biashara

Unganisha router yako ya MikroTik, panga vifurushi na bei zako, na wateja walipe kwa mtandao wowote wa simu au vocha. Pesa inaenda moja kwa moja kwenye akaunti yako.