Unganisha router yako ya MikroTik, panga vifurushi na bei zako, na wateja walipe kwa mtandao wowote wa simu au vocha. Pesa inaenda moja kwa moja kwenye akaunti yako.